October 17, 2015

AJALI YAUA ASKARI ALIKUWA KATIKA MSAFARA ULIOTOKA KUAGA MWILI WA FILIKUNJOMBE

AJALI YAUA ASKARI ALIKUWA KATIKA MSAFARA ULIOTOKA KUAGA MWILI WA FILIKUNJOMBE

Rider Kanda Maalum ya Dar es salaam apata ajali akiwa katika msafara uliotoka kuaga mwili wa Marehemu Deo Filikunjombe, ajali imetokea Ubungo Mataa muda huu, Rider no F.4946 Pc Esaya.

No comments:

Post a Comment