August 21, 2015

PICHA: ACT WALIVYOMTAMBULISHA MGOMBEA WAO WA URAIS, ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA


PICHA: ACT WALIVYOMTAMBULISHA MGOMBEA WAO WA URAIS, ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA
Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwenye Chama cha ACT-Wazelendo ambacho leo kimepitisha majina mawili , Anna Elisha na Mussa Yusuph kuwa wao wagombea urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Tanzania October .
.Kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe
Hawa ndio walioteuliwa kugombea urais kupitia chama cha ACT – Wazalendo , Anna Elisha na Mussa Yusuph.
Kitila Mkumbo akizungumza na wanachama.





No comments:

Post a Comment