December 05, 2014

NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI


NEWS ALERT: ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO AJALI YA BASI
Zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo eneo la mlima nyoka mkoani Mbeya baada ya Basi la Mbukio Mission lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Dsm kugongana na Lori .Habari kamili tutawaletea kwenye blog yetu ya mbeya yetu sasa tupo kwenye tukio.Kwa hisani ya MbeyaYetu Blog.
Baadhi ya Abiria walionusurika kifo kwenye ajali hiyo wakishangaa.
Baadhi ya Makodakta wa basi hilo badala ya kujali roho za watu wao wanahangaika kuziba jina la Basi,  ajali hii imetokea leo asubuhi maeneo ya mlima nyoka zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo


No comments:

Post a Comment