November 20, 2014

TTCL YAKABIDHI MSAADA WA MABENCHI KATIKA KITUO CHA AFYA BUGURUNI


TTCL YAKABIDHI MSAADA WA MABENCHI KATIKA KITUO CHA AFYA BUGURUNI
unnamed2Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho Dtk. Mwajuma Mbaga akiishukuru TTCL kwa msaada walioutoa na kuwaomba wadau wengine wasaidie kituo hicho kwani  kinahudumia wagonjwa zaidi ya 350 kwa siku
unnamedWafanyakazi wa kituo hicho katika picha ya pamoja.
unnamed1Sehemu ya mabenchi yaliyotolewa na kampuni ya simu Tanzania (TTCL) Msaada huo umegharimu shilingi milioni moja na laki saba.unnamed2Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho Dtk. Mwajuma Mbaga akiishukuru TTCL kwa msaada walioutoa na kuwaomba wadau wengine wasaidie kituo hicho kwani  kinahudumia wagonjwa zaidi ya 350 kwa sikuunnamed4Dkt. Mwajuma Mbaga (kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya wauguzi kituo hicho. Kulia ni Afisa Uhusiano wa TTCL Bi. Amanda Luhangaunnamed6Dkt. Mwajuma Mbaga akipokea msaada huo kutoka kwa Kaimu meneja Uhusiano wa TTCL Bw. Edwin Mashasi.


No comments:

Post a Comment