Msanii maarufu wa Bongomuvi Single Mtambalike maarufu kaa Richie amefiwa na baba yake . Msiba uko nyumbani kwa marehemu Tabata Chuo cha Ualimu St Marys Mazishi yatakuwa kesho.
Mungu Amlaze Pema Peponi
No comments:
Post a Comment