October 06, 2014

KIBAKA ACHOMWA MOTO MAENEO YA TABATA-KIMANGA, DAR


KIBAKA ACHOMWA MOTO MAENEO YA TABATA-KIMANGA, DAR

Mwili wa wa kijana anayedaiwa kuwa kibaka aliyenaswa kwenye nyumba ya mtu ukiwa umeteketea kwa moto.

Wananchi waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia kwa karibu tukio hilo.


KIJANA mmoja (jina halikufahamika) anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kukamatwa jana maeneo ya Tabata-Kimanga jijini Dar es Salaam akiwa nyumbani kwa mtu. Kijana huyo alichomwa moto na wananchi wenye hasira kali dhidi ya wahalifu wa aina hiyo.

CREDITS; GPL


No comments:

Post a Comment