October 18, 2014

CLOUDS FM WAINGILIA DILI LA TIMES FM NA DAVIDO




CLOUDS FM WAINGILIA DILI LA TIMES FM NA DAVIDO
Kama unayo kumbukumbu nzuri katika moja ya machapisho ya FichuoTz tulikuletea habari juu ya ujio wa mwanamuziki David Adedeji Adeleke (DAVIDO) kutoka nchini Nigeria ambaye analetwa nchini na kituo cha redio kiitwacho Times Fm.
Sasa imebainika kuwa Clouds Fm wamedhamiria kuharibu dili hilo la redio pinzani, na siri hivyo imetolewa na Vinega pamoja na ushahidi wa barua...Fuatilia walichotuambia hapa... 


No comments:

Post a Comment