September 23, 2014

PICHA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MADAKTARI WA KUJITOLEA TOKA UJERUMANI MJINI SUMBAWANGA


PICHA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MADAKTARI WA KUJITOLEA TOKA UJERUMANI MJINI SUMBAWANGA

  Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu  Pinda akiwa amepiga magoti wakati alipowasalimia wakwe baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri Mkuu, Kibaoni mkoani Katavi  Septemba 20, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari  kutoka Ujerumani ambao wako kwa muda katika Hospitali ya Kristo Mfalme ya Mjini Sumbawanha ambayo inamilikiwa na Kanisa Katoliki. Madaktari hao wa kujitolea wanatibu magonjwa mbalimbali na kufanya upasuaji bure hospitalini hapo.  Kulia ni Askofu wa jimbo la Sumbawanga, Damian Kyaruzi.Mheshimiwa Pinda alifanya ziara hospitalini hapo Septemba 21, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



No comments:

Post a Comment