August 26, 2014

NIGHT OF PRAISE ILIVYOFANA KATIKA PICHA MWISHO WA WIKI


NIGHT OF PRAISE ILIVYOFANA KATIKA PICHA MWISHO WA WIKI
Usiku wa ijumaa ya Agosti 22 ulikuwa ni usiku mwema kwa kundi la Soul Music Gospel International (SMG) pamoja na watu mbalimbali waliofika katika kanisa la Living Water Makuti Kawe kwa ajili ya kumsifu Mungu.

Katika usiku huo ambao ulipewa jina la Night of Praise huku ukiandaliwa na Soul Music, ulijumuisha pia waimbaji mbalimbali, zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio kwa usiku huo jinsi ulivyokuwa

WAIMBAJI MBALIMBALI WAKIMSIFU MUNGU
Bale akihudumu

Mkongo huyu aliwachezesha watu sebene kwa sana

Emmanuel Mabisa akicheza sebene



Mellody Ndichu kutoka Kenya

Emmanuel Gripa au Imma Solo na Kushoto ni mtayarishaji mziki Masanja

Dickson Gripa kaka wa Emmanuel Gripa

Fredy Msungu (kulia) akipiga Bass sambamba na mpiga solo ambaye jina lake halikupatikana mara moja


Baadhi ya waimbaji wa Spring of Praise kutokea Arusha wakiwa wanejumuika na watu wengine kumchezea Mungu


MC's nao hawakuwa mbali kwenye kucheza Kutoka  kushoto ni Fredy Msungu, Sam Sasali pamoja na Belinda Lifard Mlawa


Living Water wakiwaongoza watu kumsifu Mungu


Spring of Praise kutoka Arusha wamebarikiwa sauti


  SOUL MUSIC GOSPEL



Soul Music Gospel International wakiwekwa wakfu


Hizo ndio baadhi ya picha katika Night of Praise.

Kwa upande wa picha za sherehe ya kutimiza mwaka mmoja mkakati wa Yesu Okoa Mitaa zitafatia. endelea kuwa karibu na Gospel Kitaa


No comments:

Post a Comment