August 03, 2014

MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKABIDHI MACHINE YA KUHESABU CD4 ILIYOIBIWA APRIL 2012 WILAYANI MOMBA, TANZANIA




MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKABIDHI MACHINE YA KUHESABU CD4 ILIYOIBIWA APRIL 2012 WILAYANI MOMBA, TANZANIA
MACHINE HII NA VIFAA VYAKE ILIIBIWA NCHINI TANZANIA NA KUUZWA NCHINI ZAMBIA MJINI LUSAKA. BAADA YA JITIHADA YA POLISI WA TANZANIA, POLISI WA KIMATAIFA NA POLISI WA ZAMBIA MACHINE ILIPATIKANA MWAKA 2013 LUSAKA IKIWA INATUMIKA NA WATU WALIYOINUNUA.


MHE BALOZI GRACE MUJUMA AKIMKABIDHI MACHINE DR. NICOLAUS MBILINYI MGANGA MKUU WA WILAYA (DMO)  YA MOMBA ILIYOKUWA IMEIBIWA MWAKA 2012.  KUTOKA KUSHOTO NI DEREVA ALIYEKUJA KUCHUKUWA MACHINE, DR LAWRENCE MWAMPASHI (DISTRICT AIDS CONTROL COORDINATOR) MHE. BALOZI GRACE MUJUMA, DR. NICOLAUS MBILINYI NA MTAALAM WA MACHINE HIYO AMBAYE ALITHIBITISHA KUWA MACHINE NDIYO YENYEWE AKIWA NA AFISA UBALOZI Bw.  RICHARD LUPEMBE AMBAYE HAYUPO PICHANI


No comments:

Post a Comment