August 26, 2014

Angalia Video Mamba ashambuliwa na Simba watatu Kenya, wamchangia lakini awatoa nishai

Angalia Video Mamba ashambuliwa na Simba watatu Kenya, wamchangia lakini awatoa nishai
 
Tazama video ya mapigano kati ya simba watatu na mamba mmoja ambapo pamoja na kuchangiwa na simba hao watatu,mamba aliweza kukabiliana nao na baadae kukimbilia majini.

No comments:

Post a Comment