July 10, 2014

VIUMBE KUSAIDIANA NDIO WAJIBU ATI....



VIUMBE KUSAIDIANA NDIO WAJIBU ATI....
Kusaidina wakati wa shinda ndio kilimwengu ! Sisi sote ni viumbe wa mwenyezi Mungu , mfano hai wa kusaidiana ni huu pichani ! yaani mzee mzima ngamia akipewa Lift na Punda,chini ya usimamizi wa kiranja Binadamu ! Lakini msaada wa msafara huu mwisho wake !? sijui wapi? kama hospitalini ? au machinjioni ? au
mzee ngamia anapelekwa kufunga ndoa harusini siri ya msaada wa msafara huu wanaujua ni wausika ! au pengine ndio mambo Eco-Transport ?


No comments:

Post a Comment