July 10, 2014

RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA MASHAMBA NA KUZINDUA MSIMU MPYA WA KARAFUU



RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA MASHAMBA NA KUZINDUA MSIMU MPYA WA KARAFUU
IMG_5548
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia zao la karafuu alipotembelea katika shamba la Bw.Said Sinani  (hayupo pichani) Shumbageni Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum.[Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]

IMG_5586
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Bw.Said Sinani (kulia) baada ya kulitembelea shamaba lake la mikarafuu leo akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Pemba,(kusho
IMG_5711
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizindua ununuzi wa karafuu kwa msimu wa mwaka 2014-2015  katika kituo cha ZSTC Mkoani Pemba,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda  na Masoko Nassor Ahmed Mazrui ,zoezi hilo lilifanyika leo.[Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]


No comments:

Post a Comment