July 24, 2014

MAJANGILI WATATU WAKAMATWA KWENYE HIFADHI YA SERENGETI!

 
 
 
 
Majangili waliokamatwa wakiwa chini ya ulinzi!
Wimbi la kuongezeka kwa majangili limeendelea licha ya kuwepo kwa ulinzi katika mbuga  zetu za wanyama. Hii ni kutokana tukio lingine lililotekea kwenye hifadhi ya Serengeti ya kuwakamata majangili, ikiwa ni siku mbili tangu kuondoka kwa mmiliki wa Singita Grumeti ambaye alikuwepo kwa wiki mbili kama ilivyo utaratibu wake wa kila mwaka.Askari wake  wameendelea kukamata majangili ambapo usiku wa kuamkia leo wamewakamata majangili watatu wakiwa na swala.

Swala aliyeuawa na majangili hao 
swala aliyekuwa kauawa akiwa kapakiwa kwenye gari kwa ushahidi

No comments:

Post a Comment