Washirika wa Maendeleo nchini wakifuatilia hotuba iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.( Ingiahedi Mduma na E. Mangi – Hazina)
No comments:
Post a Comment