June 26, 2014

TUKIO KATIKA PICHA: MAZISHI YA MAREHEMU INJINIA EXON YOTHAM MWAKAJILA

 
Marehemu Unjinia Exon Yotham Mwakajila enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiwa Kanisani katika Ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu
 
Watumishi wakiwa wanaaga Mwili
 
 
Wakiendelea kuaga Mwili wa Marehemu
 
Mwili wa Marehemu ukiwa unaingizwa katika Kaburi
 
 
 
Shughuli ya Kutoa Mashada katika Kaburi la Marehemu

Na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment