June 16, 2014

NEYMAR ABADILI MTINDO WA NYWELE



NEYMAR ABADILI MTINDO WA NYWELE

Hair we go: Neymar              (left) and Dani Alves have dyed their hair blond and silver

Twende kazi mwana: Neymar (kushoto) na Dani Alves wamebadili mtindo wa nywele zao.
NYOTA wa Brazil,  Neymar sio `mchawi` inapofika wakati wa mitindo ya nywele .
Baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa ufunguzi wa kombe la dunia dhidi ya Croatia, Neymar ameonesha mtindo mpya ya nywele zake kwenye mazoezi ya kikosi cha Brazil leo asubuhi. Naye beki wa kulia, Dani Alves anayeichezea Barcelona amebadilisha mtindo wa nywele zake.
 Neymar amenyoa nywele za pembeni, huku akiziacha za juu na kuzichania kwa kwa mbele. Naye Alves amezikata na kuziweka fupi fupi.

Hair raiser: Neymar was                    the two-goal hero as Brazil opened with a 3-1 win over                    Croatia
Neymar ndiye alifunga mabao 2 katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia

Crop idol: Brazil fans                    flock around their hero and his new hairdo
Mashabiki wa Brazil wakimtazama shujaa wao na mtindo wake mpya wa nywele.

Neck it: Neymar's skill                    illuminated the opening game and Brazil's hopes rest                    on his shoulders

Neymar in training


Neymar amekuwa akibadilisha mara kwa mara mtindo wa nywele zake wakati wa mashindano.


No comments:

Post a Comment