June 16, 2014

News alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo


news alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo
Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.

Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa.
Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
Asanteni sana
- Jerry Silaa



No comments:

Post a Comment