June 16, 2014

MESSI ANAVYOBADILIKA KAMA KINYONGA, AISADIA ARGENTINA KUPATA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA BOSNIA




MESSI ANAVYOBADILIKA KAMA KINYONGA, AISADIA ARGENTINA KUPATA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA BOSNIA

In with a shout: Lionel Messi roars with delight                  after scoring Argentina's second goal

ARGENTINA imepata ushindi wa mbinde dhidi ya Bosnia-Hercegovina katika mchezo mkali wa kundi F ulioisha kwa matokeo ya 2-1.

Kikosi hicho cha Argentina kikahitaji msaada wa bao la kujifunga la Bosnia-Hercegovina kupitia kwa Sead Kolasinac dakika ya tatu ya mchezo na kudumu hadi mapumziko.

Katika kipindi cha kwanza supastaa wa Argentina Lionel Messi hakufurukuta kabisa na hata kiungo wa zamani wa Brazil Juninho akasema: "Katika nusu ya kwanza, Messi amekuwa na kiwango kibovu na anapoteza mipira kirahisi, ana hitaji kubadilika".

Na kweli Messi alibadilika kipindi cha pili, goli lake tamu la juhudi binafsi katika dakika ya 65 likawa ndio bao la ushindi kufuatia Vesad Ibisevic  wa Bosnia-Hercegovina kupunguza goli moja zikiwa zimesalia dakika sita kabla mchezo haujamalizika.

Precise: Messi slides the ball in off the post to                  give Argentina a 2-0 lead

 

Perfect 10: Messi points to the sky in trademark                celebration after his fine strike

 

Full of cheer: Argentina fans get into the spirit                before kick-off at the Maracana

 

 

Argentina: Romero, Zabaleta, Campagnaro, Federico Fernandez, Garay, Rojo, Maxi Rodriguez, Mascherano, Di Maria, Messi, Aguero.

 

Bosnia-Herzegovina:

 

Begovic, Mujdza, Bicakcic, Spahic, Kolasinac, Besic, Hajrovic, Pjanic, Misimovic, Lulic, Dzeko. 

 



No comments:

Post a Comment