June 16, 2014

Mdau ashuhudia ngoma ya argentina na Bosnia Herzegovina



mdau ashuhudia ngoma ya argentina na Bosnia Herzegovina
Mdau Moody Kiluvia akiwa katika Uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro kushuhudia mechi ya Argentina dhidi ya Bosnia Herzegovina ambapo Argentina wameshida kwa bao 2-1. Matokeo mengine ya leo ni Uswisi imeshinda 2-1 dhidi ya Ecuador, wakati Ufaransa imeizamisha Honduras kwa bao 3 mtungi. 




No comments:

Post a Comment