June 11, 2014

LUIS SUAREZ FITI KUIVAA ENGLAND JUNI 19


LUIS SUAREZ FITI KUIVAA ENGLAND JUNI 19

Ready: There had been doubts surrounding the                  striker, but it appears he will be fit to start the                  World Cup

LUIS Suarez anaonekana atakuwa fiti kuikabili England kwenye michuano ya Kombe la Dunia Juni 19 baada ya nyota huyo kusema goti lake liko katika hali nzuri.

Mshambuliaji huyo wa Liverpool mwenye umri wa miaka 27 ameshiriki mazoezi na kikosi cha Uruguay Jumanne huku akionekana kutengemaa.

Kulikuwa na mashaka kuwa Suarez ataukosa mchezo dhidi ya England au pengine kushindwa kabisa kushiriki michuano hiyo ya Kombe la Dunia itakayoanza kutimka vumbi Alhamisi hii huko nchini Brazil baada ya kuumia goti.

Tazama picha za namna Suarez alivyoshiriki mazoezi.

Fit and fresh: Suarez trained with the Uruguay team                  at Jacare Stadium on Tuesday

How is it feeling? Team physical therapist Walter                Ferreira with the Liverpool striker

Thirsty work: Suarez is looking forward to taking on                England in Sao Paulo on June 19

Working up a sweat: Suarez trained on his own away                from the rest of the squad

Relaxed: The Uruguay team, who reached the                semi-finals four years ago, trained on Tuesday



No comments:

Post a Comment