June 17, 2014

HATIMAYE DROO YA KWANZA YAPATIKANA, NIGERIA IJILAUMU YENYEWE KWA KUSHINDWA KUIUA IRAN



HATIMAYE SARE YA KWANZA YAPATIKANA, NIGERIA IJILAUMU YENYEWE KWA KUSHINDWA KUIUA IRAN

Battle: Nigeria's John Obi Mikel comes out with the                  ball after dispossessing Iran's Reza Ghoochannejhad

NIGERIA imeshindwa kuichapa Iran katika mchezo wa Kombe la Dunia wa kundi F ambao wawakilishi hao wa bara la Afrika walistahili kushinda.

Mchezo huo wa Nigeria na Iran umemalizika kwa sare ya 0-0 na hii inakuwa sare ya kwanza kupatikana tangu michuano hii ya Kombe la Dunia 2014 ilipoanza huko nchini Brazil.

Nigeria ilitandaza soka zuri na kutawala katika kila idara, lakini ikashindwa kupata tiba ya kuiangamiza Iran.

Challenge: Nigeria's Emmanuel Emenike (left) and                  Iran's Jalal Hosseini battle for the ball

Iran: Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Teymourian, Nekounam, Heydari (Shojaei 89), Dejagah (Jahanbakhsh 78), Hajsafi, Ghoochannejhad.


Nigeria: Enyeama, Ambrose, Oboabona (Yobo 30), Omeruo, Oshaniwa, Onazi, Mikel, Moses (Ameobi 52), Musa, Azeez (Odemwingie 69), Emenike.




No comments:

Post a Comment