June 22, 2014

GHANA YATOKA SARE YA 2-2 NA UJERUMANI



GHANA YATOKA SARE YA 2-2 NA UJERUMANI

Prolific: Miroslav              Klose scores his 15th international goal at World Cups for              Germany to make it 2-2

Miroslav Klose amefunga bao lake la  15 akiichezea Ujerumani na kulazimisha sare ya 2-2.
TIMU ya Taifa ya Ghana almanusura iibuke na ushindi dhidi ya Ujerumani, lakini mechi hiyo imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Ujerumani wakitoka nyuma wamefanikiwa kuvuna pointi moja mbele ya Ghana walioonekana kucheza vizuri kwa dakika zote 90.
High flyer: Miroslav Klose                    celebrates scoring Germany's second goal against Ghana                    on Saturday evening
 Miroslav Klose akishangilia bao lake.
Can't believe it: Ghana                      keeper Fatau Dauda shows his anger after Germany                      score to level the game at 2-2
Haamini: Mlinda mlango wa Ghana ,  Fatau Dauda akiwa na hasira baada ya Ujeruman kusawazisha na matokeo kuwa 2-2
Head boy: Mario Goetze                    (centre) drifts between two defenders to score the                    opening goal for Germany
 Mario Goetze (katikati) akiwapita mabeki wawili wa Ghana na kuifungia Ujerumani bao la kuongoza.

Hapa chini ni Vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama ni chini ya 10.

Kikosi cha Ujerumani: Neuer 6;  Boateng 6 (Mustafi 45mins 5.4), Mertesacker 6, Hummels  6, Howedes 6;  Lahm 7; Khedira 6.5 (Schweinsteiger 69mins 7),  Kroos 7; Mueller 6), Ozil 7, Goetze 7 (Klose 69mins 7.5).

Wafungaji wa Magoli : Gotze 51, Klose 71


Kikosi cha GHANA: Dauda 7; Afful 6.5, Mensah 6.5, Asamoah 6, Boye 6; Boateng (J Ayew 51mins 6.5 ), Muntari 6, A Ayew 7.5, Atsu 7 (Wakaso 71mins 6); Rabiu 6 (Badu 77mins 6); Gyan 8 

Wafungaji wa magoli: Ayew 54, Gyan 63

Mwamuzi : Sandro Ricci
Level best: Andre Ayew                    (right) rises above the German defence to head home                    for Ghana
Ndosi hiyo!:  Andre Ayew (kulia) akiruka juu ya mabeki wa Ujerumani na kupiga mpira wa kichwa uliozama nyavuni akiisawazishia Ghana
No chance: A full stretch                  Manuel Neuer is unable to stop Andre Ayew equalising for                  Ghana
 Manuel Neuer akijaribu kuokoa mpira wa kichwa uliopigwa na  Andre Ayew, lakini aliambulia manyoya tu!
Stunner: Asamoah Gyan                    fires past Manuel Neuer to put Ghana ahead against                    Germany
Asamoah Gyan akipiga shuti kali na kuandika bao la pili dhidi ya Ujeruman.
Dancing feet: Asamoah Gyan                    and his Ghana team-mates celebrate in spectacular                    after going 2-1 up
 Asamoah Gyan na wachezaji wenzake wa Ghana wakishangilia bao la kuongoza.


No comments:

Post a Comment