June 02, 2014

CHADEMA NA UKAWA WASUSIA MAZISHI YA MAMA WA MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ZITTO KABWE ONA PICHA HAPA ZA MAZISHI LIVE!!

CHADEMA NA UKAWA WASUSIA MAZISHI YA MAMA WA MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ZITTO KABWE ONA PICHA HAPA ZA MAZISHI LIVE!!
Mh Zitto Kabwe akiwa na majonzi makubwa
Mh Zitto Kabwe akisalimiana na watu waliokuja kumpa pole
Mwili wa marehemu ukiwa umewasili nyumbani tayari kwa kuagwa na kusomewa dua
Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye gari nyubani ayri kwa kuagwa na kusomewa dua

Ni simanzi na majonzi nyumbani kwa marehemu
Mwili ukiwa umefika tayari kwa kusomewa dua

No comments:

Post a Comment