BENKI YA EXIM SHINYANGA YASAFISHA SOKO KUU KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 5 MWEZI WA 6
BENKI YA EXIM SHINYANGA YASAFISHA SOKO KUU KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 5 MWEZI WA 6 Wafanyakazi wa Benki ya Exim ya Tanzania Tawi la Shinyanga wakisafisha eneo la Soko Kuu mkoani humo katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani ambayo uadhimishwa kila ifikapo tarehe 5 mwezi wa 6 kila mwaka. (Picha na mpiga picha wetu).
No comments:
Post a Comment