June 28, 2014

AFANDE PETER STEVEN JOHN AMEREMETA NA MY WIFE WAKE MEBO MALAKASUKA



AFANDE PETER STEVEN JOHN AMEREMETA NA MY WIFE WAKE MEBO MALAKASUKA


Maharusi wakifurahia kuanza kwa historia mpya katika maisha yao.
Bi Harusi mtarajiwa Mebo Malakasuka (shoto)akitabasamu kwa mbaaali wakati wa sherehe ya kumuaga(Send Off)iliyofanyika katika ukumbi wa Green View jijini Dar es salaam.
Ndugu wa karibu wa Bw Harusi Peter Steven John wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi Harusi mtarajiwa akasindikizwa kwenda kupumzika.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini aliyeko jijini Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment