WASANII WAKUTANA VIWANJA VYA LEADERS KUPANGA MIKAKATI YA MSIBA WA MSANII MWENZAO RECHO HAULE
WASANII WAKUTANA VIWANJA VYA LEADERS KUPANGA MIKAKATI YA MSIBA WA MSANII MWENZAO RECHO HAULE
Wasanii wa Bongo Movies Unity wakiwa katika Viwanja vya Leaders kupanga mikakati ya msiba wa mwenzao, Rachel Haule 'Recho' aliyeaga dunia usiku wa kumakia leo.
No comments:
Post a Comment