May 27, 2014

WADAU ALBERT NA EVODIA WAMEREMETA MJINI BUKOBA



WADAU ALBERT NA EVODIA WAMEREMETA MJINI BUKOBA
MDAU ALBERT MUCHURUZA NA BI EVODIA ERASTO  WAKILA POZI BAADA YA KUMEREMETA KATIKA KANISA LA RC NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA NA KUFUATIWA NA MNUSO WA NGUVU  KATIKA
UKUMBI WA LINAS NIGH CLUB MJINI BUKOBA
Wapambe wa Bi Harusi wakipozi  wakiwa wamembeba bwana harusi  kuonesha furaha yao
Wapambe wa Bw Harusi wakiwa wamembeba bi harusi
Kutoka kulia ni Mheshimiwa Mr Muchuruza baba mzazi wa bwana harusi akiwa sambamba na mke wake bi Rose Muchuruza wakichukua picha ya pamoja na maharusi. Picha zaidi BOFYA HAPA


No comments:

Post a Comment