May 23, 2014

VIDEO:MADAM RITA AMPIGANIA DIAMOND!!!



VIDEO:MADAM RITA AMPIGANIA DIAMOND!!!

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka MADAM RITA ambaye ni moja ya wadau wakubwa kwenye muziki huu wa kizazi kipya...amejitokeza na kuwomba watanzania wampigia kura msanii Diamond kwenye tuzo za MTV...
Lets vote for Diamond jamani..nenda kwenye computer yako...bonyeza www.mama.mtv.com and vote for diamond and let him win the award men.....tupendane
by Madam Rita

ASANTE SANA MADAM KWAKUMPIGANIA  KIJANA WETU ACHUKUE MZIGO, PROUDLY TZ


No comments:

Post a Comment