May 11, 2014

TANYA AIGIZA AKIWA MTUPU KWENYE SCENE YA 'HOUSE OF LUNGULA'

 
 
 
Mwanadada Saraha Hassan a.k.a Tanya kutoka Kenya ameigiza akiwa utupu kwenye moja kati ya vipande (scenes) za vichekesho vya mapenzi nchini Kenya, vijulikanavyo kama HOUSE OF LUNGULA...Vichekesho hivyo kwasasa vimepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye TV za Kenya.
 

No comments:

Post a Comment