May 21, 2014

SIKU MV. BUKOBA ILIPOZAMA ZIWANI VICTORIA NA KUUA WANANCHI WENGI AKIWEMO MAMA WA SUPER STAR MODEL SOMA HAPA NA PICHA YA MAKABURI YAO LIVE!!

 
 
 


"May 21 1996 Tanzania ilipatwa na msiba mkubwa,mamia ya watu akiwemo Mama yangu mzazi walipoteza maisha kwenye ajali ya #MvBukoba .Mwenyezi Mungu aendelee kuzilaza roho zao mahala pema peponi siku hii pia itukumbushe umuhimu wa usalama wa vyombo vya majini #MVBUKOBA18 #MAY21ST"

 

No comments:

Post a Comment