RIHANA KAMA WEMA SEPETU, WATU WAMSHANGAA ALIPOENDA KATIKA GAME YA CLIPPERS. CHEKI PICHA HAPA
Rihanna ameonekana kufuatilia game nyingi za kikapu baada ya kumshangilia LeBron James kwenye game ya Nets vs Miami Heat iliyochezwa Miami, Riri alisafiri tena kwenda kutazama Game 3 ya Western Conference semifinals kati ya Los Angeles Clippers na Oklahoma City Thunder mjini L.A. ijumaa.
No comments:
Post a Comment