POLISI WATUMIA NGUVU NYINGI KUPAMBANA NA MWANAMKE KWA KOSA LENYE UTATA

Polisi Mkoani Mtwara wakiwa wamemzingira mwanamke (aliye kwenye gari) aliyekamatwa kwa kosa la kutovaa kofia ngumu(helmet) alipopanda pikipiki katika kituo cha mafuta cha Mnarani hivi karibuni. Haikueleweka kwanini polisi hao walitumia nguvu kubwa kumkamata kwa kosa hilo. Picha na Mpigapicha Wetu
No comments:
Post a Comment