May 25, 2014

Msaada tutani: Anko wetu amepotea, familia yamtafuta




Msaada tutani: Anko wetu amepotea, familia yamtafuta
Kaka za masiku,  pole na kazi za kila siku. Kuna anko wetu amepotea. Jina lake ni Amir Hussein Binyaga. Yeye  ni mkaazi wa Kiluvya jijini Dar na amewahi kuishi Tanga  Majani Mapana. Ana umri wa miaka 56 na alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi. Hadi leo familia bado inamtafuta. Taarifa zipo kituo cha polisi Kibaha, Maili Moja. Tusaidie iweke kwnye blog yetu kuu. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 
0754322317 
0754273711,
0653768329,
0718260177


No comments:

Post a Comment