May 26, 2014

MKURUGENZI WA ZAMANI WA TANESCO ATINGA KIZIMBANI BY TAKUKURU

Aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Eng. William Mhando, mkewe na wenzake wawili wamepandishwa Mahakama ya Kisutu leo kujibu kesi ya Ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi.

Chanzo: Mwananchi.                                                             

No comments:

Post a Comment