May 15, 2014

MAJANGAZZ AJALI IRINGA, BAJAJI YAMGONGA MWANAFUNZI ENEO LA POSTA

 
 
 
 

taiRi ya bajaji  hiyo  likiwa  limekatika

Askari  wa usalama  barabara  wakikagua ajali  hiyo mbaya iliyosababisha hadi ukuta wa uzio wa bustani ya  Manispaa ya Iringa  kubomoka
Bajaji  ikiwa  imepata  ajali mbaya mchana  huu eneo la posta mjini Iringa
Bajaji ya Mng'aro  wa sembe  akiwa emepata ajali  wakati ikisambaza unga  huoInaendelea>>>>

No comments:

Post a Comment