May 15, 2014

KAULI ZA MASTAA MBALIMBALI JUU YA DIAMOND KUINGIA KATIKA TUZO ZA BET

 
 
 
 
Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond  Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania  wamekubali kutoa ya moyoni baada ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela,Wema Sepetu,Ay,Belle 9,Vanesa Mdee na wengine kibao. Hizi ndizo post za mastar hawa.  

No comments:

Post a Comment