May 26, 2014

JIHAN NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2014





JIHAN NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2014
 Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani
  Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani
Hatimaye mbio za kumsaka Miss dar City Centre 2014 zahitimishwa  usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar es salaam free market baada ya mshiriki namba kumi na saba (17) Jihan Dimechk kutawazwa mshindi wa Miss Dar City centre 2104. Picha na Justine Kazaura wa Light Photo Studio


No comments:

Post a Comment