BASI LA ABIRIA LAPATA AJALI ENEO LA KIBITI MKOA WA PWANI
Basi lilalofanya safari
zake kati ya Mbagala Rangi Tatu na Kimanzichana lapata ajali jana katika eneo la
Kibiti, Mkoa wa Pwani. Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa ya
aliyepoteza maisha. PichaLukaza Blog
No comments:
Post a Comment