AY feat DELA "ASANTE" (Behind The Scenes)

Ni single yake mpya kwenye TV & Radio kote Afrika ambayo imefanyika Kenya zaidi ya wiki tatu zilizopita ikiwa pia ndio video ya kwanza ya Ay akionekana kumshika msichana, ni mara ya kwanza toka aanze kutoa video za single yake.
No comments:
Post a Comment