May 24, 2014

ARJEN ROBBEN AIPIGA `CHAGA` MAN UNITED, ASEMA KUNA `ASILIMIA SIFURI` KUONDOKA BAYERN MUNICH



ARJEN ROBBEN AIPIGA `CHAGA` MAN UNITED, ASEMA KUNA `ASILIMIA SIFURI` KUONDOKA BAYERN MUNICH

No deal: Bayern              Munich winger Arjen Robben says there is 'zero chance' he              will join Manchester United this summer

Praise: The Dutch winger                    did however speak highly of new United boss and                    national team coach Louis van Gaal
Imechapishwa Mei 24, 2014, saa 12: 30 jioni

Arjen Robben amesema kuna asilimia sifuri za yeye kuondoka katika klabu ya Bayern Munich kujiunga na Manchester United majira ya kiangazi mwaka huu.
Winga huyo raia wa Uholanzi ni moja ya wachezaji wanaowindwa na kocha mpya wa Man United, Louis van Gaal ambaye anataka kuwaleta baadhi ya wachezaji kutoka Bundesliga.
 Robben amesisitiza kuwa haiwezekani kuungana na Va Gaal kwasababu ana furaha chini ya Pep Guardiola nchini Ujerumani.


No comments:

Post a Comment