May 27, 2014

AJALI:ROLI LAACHA BARABARA NA KUINGIA MTARONI MINDU-MOROGORO....




AJALI:ROLI LAACHA BARABARA NA KUINGIA MTARONI MINDU-MOROGORO....
ASKARI WA USALAMA BARABARANI AKISIMAMIA ZOEZI LA KULITOA GARI HILO LILILOKUWA LIMECHEPUKA NJIA KUU NA KUINGI MTARONI KATIKA BARABARA YA MOROGORO-IRINGA
 ZOEZI LA KUNYANYUA GARI LIKIENDELEA 


 KICHWA CHA GARI KIKIWA KIMETOLEWA ENEO LA AJARI
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA NI KWAMBA AJALI HIYO HAIKUSABABISHA KIFO CHOCHOTE!!


No comments:

Post a Comment