December 31, 2014

SERIKALI YAWATAKA WAKAZI WA ARUSHA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO



SERIKALI YAWATAKA WAKAZI WA ARUSHA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO
picha (2)
Mahmoud Ahmad Arusha
Serikali Mkoani Arusha Imewataka wakazi wa Mkoa huo Kuhakikisha kuwa wanaendelea kudumisha Amani,Umoja na Mshikamano sanjari na kujitolea katika kufanikisha shughuli za kimaendeleo.
Kauli hiyo imetolewa na katibu Tawala wa mkoa huu Addo Mapunda wakati akiongea na wanahabari  ofisini kwake ambapo alisisitiza
wakazi wa mkoa huu  kufuata sheria kanuni na taratibu za nchi ikwemo usafi wa mazingira.
Aliwatahadharisha wananchi hao kutofuata mkumbo na kujihusisha na ushabiki wa baadhi ya vyama vya siasa ambavyo vimekuwa vikiendesha siasa za chuki,udini na uhasama jambo ambalo limekuwa likiwagawa wananchi katika makundi na kupelekea uwepo wa vitendo vya uvunjifu wa amani.
"napenda kuwakukumbusha wananchi wa mkoa wa Arusha kuwa suala la maendeleo sio la Serikali pekee bali ni jukumu la kila mwananchi kuhakikisha kuwa nashiriki kikamilifu katika shughuli za kujiletea maendeleo"alisema Mapunda.
Akizungumzia shule za Sekondari za Kata amesema kuwa Serikali imejipanga kikamilifu na tayari umaliziaji wa majengo ya maabara na vyumba vya madarasa uko katika hatua za mwisho kabisa kukamilika na kuwataka wananchi kuepukana na dhana potofu kuwa shule za Kata hazina viwango vizuri vya ufaulu wa wanafunzi.
Mapunda amesema kuwa Mkoa wake umejipanga kikamilifu kuhakikisha kuwa hakuna mwanafunzi hata mmoja aliyechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani ambaye atakosa kujiunga na shule kwa uhaba wa vyumba vya madarasa kwani mkoa umejipanga kikamilifu kukabiliana na changamoto hiyo.
Kuhusu suala la uchaguzi  wa serikali za mitaa alisema kuwa anashukuru uchaguzi huo umekwenda kwa mafanikio na kuwa wananchi walipewa fursa zxa kuwachaguwa viongozi wanaowataka.
"Kikubwa ni wananchi kupewa fursa za kuwachagua viongozi
wanowataka bila ya kuwepo shinikizo hali ambayo imekuwa ikichangia uvunjifu wa Amani ndio maana umeona mkoa huu hauna matukio ya uvunjifu wa amani kama ilivyokuwa kabla"


December 28, 2014

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA SINGIDA MCHANA HUU KATI YA BASI LA ZUBERI NA COSTA...AMBAPO KATIKA COSTA HAKUNA ALIYEPONA



BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA SINGIDA MCHANA HUU KATI YA BASI LA ZUBERI NA COSTA...AMBAPO KATIKA COSTA HAKUNA ALIYEPONA

Bus la Zuberi No. 3 Limegongana uso kwa uso na costa. Hakuna aliyetoka kwenye costa na imekwisha  nyang'anyang'a. Hali hii imepelekea waliokua kwenye magari mengine kushuka na  kuokoa majeruhi. Ni Mbele kidogo ya singida mjini.
 



 Yaani costa imeisha na imeanguka miguu juu. Bado kuna abiria wapo chini ya hiyo costa. Ni ajari mbaya sana aisee.


MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 28.12.2O14


MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 28.12.2O14


.

.

.



.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.




N


December 26, 2014

THE MAGAZETI YA BONGO LEO FRIDAY /IJUMAA 26/12/2014 LIVE!!


THE MAGAZETI YA BONGO LEO FRIDAY /IJUMAA 26/12/2014 LIVE!!
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Ni


HATIMAYE TANZANIA TUMEANZA KUPATA MISAADA YA VIFAA VYA UPASUAJI TEZI DUME


HATIMAYE TANZANIA TUMEANZA KUPATA MISAADA YA VIFAA VYA UPASUAJI TEZI DUME


Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea vifaa tiba vya upasuaji  wa  tezi dume na magonjwa mengine kutoka kwa Misri vyenye thamani ya Sh. milioni 850.

Mkurugenzi wa Wauguzi MNH, Agnes Mtawa, aliyasema hayo alipokuwa akipokea msaada wa vifaa hivyo, jijini Dar es Salaam jana.
Alisema huduma ya upasuaji wa mfumo wa mkojo ambao kitaalamu unafahamika kuwa ni Urolojia hutolewa katika Hospitali ya MNH na Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo mkoani Kilimanjaro.
"Kwa niaba ya Serikali na Watanzania naishukuru Serikali ya Misri kwa msaada huu wa vifaa tiba, hivyo vifaa hivi vitasaidia kutoa huduma ya upasuaji kwa wagonjwa kwa kutumia hadubini (Endoscopy).

Mtawa aliomba Serikali ya Misri kuwasomesha wataalamu katika eneo matumizi ya hadubini ili kutoa  huduma za upasuaji kwa kiwango kinachotakiwa.

Mkuu wa kitengo cha upasuaji MNH, Dk. Ryuba Nyamasongoro, alisema kuwa asilimia 60 ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji zaidi ni wenye matatizo kwenye mfumo wa mkojo.

Alisema huduma ya Urolojia ilianzishwa 2008 ikiwa chini ya Idara ya upasuaji kwa lengo la kuboresha huduma hiyo kwa wananchi, huduma ambazo kitengo hicho kinatoa ni pamoja na upasuaji wa tezi dume, kuziba kwa njia ya mkojo.

"Tunashukuru kupata vifaa  hivyo kwa kuwa vitasaidia upungufu uliojitokeza kwa muda mrefu kuwa na kifaa cha kuondolea mawe kwenye figo," alisema.

Naye Mwanadiplomasia wa Ubalozi wa Misri nchini, Ahmed Rahim, alisema kuwa Serikali yake itaendelea kushirikiana na Tanzania kwa kutoa misaada mbalimbali ili kuendeleza uhusiano.
CHANZO: NIPASHE


AJALI YAUWA WAWILI NZEGA TABORA




AJALI YAUWA WAWILI NZEGA TABORA
 Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega, inaasemekana chanzo cha ajali ni speed ya gari dogo na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha eneo hilo.



FROLA MBASHA: DVD MPYA YA NIPE NGUVU YA KUSHIDA SASA IKO MADUKANI

Mungu amekuwa mwema kwangu tangia nilipomkubali kuwa mwokozi wangu na nguzo yangu. Nimeona Mungu akinishindia na magumu ninayopitia na niliyoyapitia katika maisha yangu. Nimeona Mungu huyu unayemwabudu kila siku akinivusha na kunitia moyo pale ninapoona akili yangukufikiri jinsi ya kutatua yale yaliyombele yangu. Mungu huyu ni waajabu kwangu, kaniwezesha katika uaandaji wa albamu hii mpya ya "NIPE NGUVU YA KUSHINDA". Nazidi kumshangaa Mungu huruma zake na fadhili zake kwangu - Flora Mbasha

December 25, 2014

Ibada ya Krismasi – Leo Alhamisi Disemba 25, 2014 Saa 3:30 Alasiri Usikose!


Ibada ya Krismasi – Leo Alhamisi Disemba 25, 2014 Saa 3:30 Alasiri Usikose!



December 24, 2014

MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 24.12.2O14


MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 24.12.2O14
DSC07558

DSC07559
DSC07553
DSC07554
.
DSC07552
DSC07562
DSC07563
DSC07543

DSC07544
DSC07545
DSC07547
DSC07548
DSC07550

DSC07555
DSC07556
DSC07560
DSC07561
DSC07564
DSC07565
DSC07566
DSC07567