May 23, 2014

You Heard: Kauli ya Halima James Mdee hii hapa


Mwisho wa uongo ni aibu. Siasa za uongo hazilipi. Lazima mtu mmoja ajitoe muhanga kukomesha siasa za uongo na utungaji hekaya. Nimeamua kuchukua wajibu huo kuokoa nchi kutoka kwenye makucha ya siasa za uongo, uzushi na uzandiki. Iwe fundisho kwa vifaranga na mama zao. Mabadiliko ni hoja na kusimamia hoja za umma na sio utungaji wa hekaya dhidi ya washindani wao kisiasa.

No comments:

Post a Comment