May 18, 2014

MASHABIKI WA ATLETICO MADRID WALIVYOPATA WAZIMU WA UBINGWA

 

Filling the streets: Atletico Madrid fans hit the Neptuno fountain to celebrate after their club won the La Liga title by drawing 1-1 with Barcelona in the Nou Camp

MASHABIKI wa Atletico Madrid wameutumia usiku wote kusherehekea ubingwa wao wa kwanza wa La Liga ndani ya miaka 18.

Maelfu ya mashabiki wamefurika kwenye uwanja wa wazi wa Neptuno Square ulioko jijini Madrid kushangilia ubingwa huo uliokuja baada ya kutoka sare ya 1-1 na Barcelona.

Jubilant: Atletico fans were lighting flares and celebrating late into the night

Supporters watch a flare go off

 

 

No comments:

Post a Comment